Cart 0
Mali Nyingi (Swahili)

Mali Nyingi (Swahili)

$0.00

Ukombozi
Mlikombolewa si kwa vite viharibikavyo, kwa fedha au dhahabui;… bali kwa damu ya thamani, kama ya mwana-Kondoo aside na ila, asiye na waa, yaani, ya Kristo. I Petro 1:18, 19. Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunas ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake. Waefeso 1:7.

Vvokovu
Yanipasa nifanye nini nipate kuokoka? …Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka. Matendo 16:30, 31. Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awake yote asije akajisifu. Waefeso 2:8, 9. Tazama, siku ya wokovu ndiyo sasa. 2 Wakorintho 6:2.

Uhai
Mungu alitupa uzima wa milele; na uzima huu umo katika Mwanawe. Yeye aliye naye Mwana, anao huo uzima; asiye naye Mwana wa Mungu hand huo uzima. I Yohana 5:11, 12. Amwaminiye Mwana yuna uzima wa milele; asiyemwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia. Yohana 3:36.

Hakiki
Nimewaandikia ninyi mambo halo, ili mjue ya kuwa mna uzima wa milele, ninyi mnaoliamini Jina la Mwana wa Mungu. I Yohana 5:13. Kwa magna namjua yeye niliyemwamini, na kusadiki ya kwamba aweza kukilinda kile nilichokiweka amana awake hate siku ile. 11 Timotheo 1:12.

Kushinda
Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yet? …Tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda. Warumi 8:31, 37. Ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili ya dhambi zeta, ili atuokoe na dunia hii mbovu iliyopo sash, kame alivyopenda Mungu, Baba yetu. Wagalatia 1:4.

Tumaini
Uwenyeji wetu uko mbinguni; kutoka huko tena tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo. Wafilipi 3:20. Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu. Tito 2:13. Matumaini yale yawekwayo mbele yetu, tuliyo nayo kama nanga ya roho yenye salama, yente nguvu. Waebrania 6:18, 19.

BASI tukiisha kuhesabiwa haki itokayo katika imani, na tuwe na amani kwa Mungu, kwa Njia ya Bwana wetu Yesu Kristo. Ambaye kwa yeye tumepata kwa njia ya imani kuifikia neema hii ambayo tunasimama ndani yake; na kufurahi katika tumaini la utukufu wa Mungu. Wala si hivyo tu, ila na tufurahi katika dhiki pia; tukijua ya kuwa dhiki, kazi yake ni kuleta saburi; na kazi ya saburi ni uthabiti wa moyo; na kazi ya uthabiti wa moyo ni tumaini; na tumaini halitahayarishi; kwa maana pendo la Mungu limekwisha kumiminwa katika mioyo yetu na Roho Mtakatifu tuliyepewa sisi.

Kwa maana hapo tulipokuwa hatuna nguvu, wakad ulipotimia, Kristo alikufa kwa ajili ya waovu. Kwa kuwa ni shida mtu kufa kwa ajili ya mtu mwenye haki; lakini yawezekana mtu kuthubutu kufa kwa ajili ya mtu aliye mwema. Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu nisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yeti, tulipokuwa tungali wenye dhambi. Basi zaidi sane tukiisha kuhesabiwa haki katika damu yake, tutaokolewa na ghadhabu kwa yeye. Kwa manna ikiwa tulipokuwa adui tulipatanishwa na Mungu kwa mauti ya Mwana wake; zaidi sana baada ya kupatanishwa tutaokolewa katika uzima wake. Wala si hivyo tu, ila pia twajifurahisha katika Mungu kwa Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye kwa yeye sass tumeupokea huo upatanisho. Warumi 5:1-11.More from this collection